Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Dr. Mwigulu Nchemba akimkaribisha balozi wa nchi ya Irani (Tanzania) Mousa Farhang ofisini ndogo ya wizara ya mambo ya ndani iliyopo jijini Dar es salaam leo.

Balozi wa nchi ya Irani (Tanzania) Mousa Farhang akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Dr. Mwigulu Nchemba katika ofisi ndogo ya waziri wa mambo ya ndani iliyopo jijini Dar es salaam leo.


Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Dr. Mwigulu Nchemba akiteta jambo na balozi wa nchi ya Irani (Tanzania) Mousa Farhang alipofika kumtembelea ofisini wizara ya mambo ya ndani iliyopo jijini Dar es salaam jana
Share To:

msumbanews

Post A Comment: