Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, alisema kilele hicho ambacho hutumiwa zaidi na wananchi ukanda huo kwa ajili ya kuuona kwa karibu mlima Kilimanjaro, ni mahali pazuri pa kufanyia shughuli hizo kwa sas |
| Alieleza mtizamo wake huo wa kuchochea ukuzaji wa sekta ya utalii wilayani humo kabla ya kuzindua mpango wa miaka minane wa kuboresha mazingira wa ‘Go Green’ utakaoiondoa Same katika ukame na kuifanya ya kijani |
|
Msitu wa Hifadhi wa Chome (CNFR), ulianzishwa Machi 25, mwaka 2016 kwa tangazo la Serikali (GN), Namba 105 ukiwa unazungukwa na vijiji |
|
Post A Comment: