Wananchi wa Kata ya Kimandolu Mkoani Arusha wakiwa katika msululu wa kupiga kura ya kumchagua Diwani wa kata hiyo.
Mmoja wa wananchi akipiga kura ya kumchagua diwani wa kata katika Kituo cha Kurugenzi kilichopo kata ya Kimandolu mapema asubuhi ya leo.
Post A Comment: