Mwenyekiti Wa Vijana Wa CCM Mkoa Wa Rukwa Ndugu Ramadhani Shabani Leo Hii Ktk Maadhimisho Ya Mapinduzi Matukufu Ya Zanzibar Mkoani Rukwa Aliwaoongoza Vijana Wa CCM Mkoani Rukwa Kufanya Usafi Ktk Maeneo Ya Soko Kuu Ililopo Sabasaba Ambapo Pia Sambamba Na Yote Mwenyekiti Huyo Wa Vijana Pia Alisikiliza Kero Za Wafanyabiashara Ktk Soko Hilo.
Mwenyekiti Huyo Wa Vijana Alisikiliza Kero Hizo Za Wafanyabiashara Hao Na Kuzipatia Ufumbuzi Papo Kwa Papo Kwa Zile Zilizokuwa Zipo Ktk Uwezo Wake,Lakini Pia Mwenyekiti Huyo Wa Vijana Aliwakalia Kooni Viongozi Wa Soko Ilo Kwa Kuwataka Wakakae Chini Upya Na Kuangalia Namna Ya Kuwapunguzia Kero Za Tozo Na Ushuru Uliokithiri Haswa Ktk Swala Zima La Tozo Za Usafi Wa Soko Hilo.
Mwenyekiti Huyo Wa Vijana Pia Amewataka Wananchi Na Wafanyabiashara Wa Soko Ilo Kutokuogopa Na Kutishwa Na Kelele Zinazopigwa Na Wapinzani Wa Serikali Ya CCM Ktk Mkoa Huo Kwamba Eti Wafanyabiashara Hao Watahama Ktk Eneo Hilo Huku Mwenyekiti Huyo Wa Vijana Akiwajibu Na Kuwasmbia Wafanyabiashara Hao Kutowasikiliza Hao Wanasiasa Uchwara Waliokosa Agenda Huku Akiwaakikishia Kwamba Hakuna Mfanyabiashara Atakayeamishwa Ktk Soko Hilo.
Mwenyekiti Wa Vijana Huyo Pia Aliendelea Kusisitiza Kwamba Kazi Ya Jumuiya Ya Vijana Ni Kuyaibua Mambo Na Sambamba Na Kuikumbusha Serikali Ya CCM Kutatua Kero Hizo Zinazowakabili Wananchi,Ambapo Amesema Kwamba Amezipokea Kero Zote Ikiwemo Ile Ya Kukosekana Choo Cha Serikali Pamoja Na Bomba La Serikali Huku Vyote Hivi Vikiwepo Lakini Ni Vya Watu Binafsi Na Hivyo Kuwanyima Sana Uhuru Wafanyabiashara Hao Wa Soko Hilo Kutokana Kwamba Utozwa Pesa Wanapotaka Huduma.
Lakini Mwisho Mwenyekiti Huyo Wa Vijana Mkoa Wa Rukwa Aliwataka Wananchi Kuiunga Mkono Serikali Ya CCM Chini Ya Mhe Rais Dkt John Magufuli Huku Akiwaasa Wafanyabiashara Hao Kutosikiliza Vijineno Vya Wapinzani Ambavyo Wamekuwa Wakidai Kwamba Vyuma Vimekaza Mwenyekiti Huyo Aliwaambia Wafanyabiashara Hao Kufanya Kazi Kwabidii Ndio Kila Kitu Lakini Wanaosema Vyuma Vimekaza Tuwakumbushe Pia Wanapotuambia Vyuma Vimekaza Basi Wawewanatupa Na Gresi Angalau Tujue Na Tutambue Kweli Wanatujali Kuliko Kuendeleza Kendrick Na Vijembe Vyao Vya Kisiasa Kwa Serikali Ya CCM.
Lakini Pia Mwenyekiti Huyo Wa Vijana Pia Amewataka Wafanyabiashara Wa Soko Hilo Kuendelea Kuivumilia Serikali Ya CCM Haswa Ktk Kipindi Hichi Ambacho Serikali Imekuwa Ikifanya Mapinduzi Makubwa Ya Kiutendaji Na Kimfumo Huku Akiwaambia Wasisikilize Mabaya Na Ya Ovyo Ya Wapinzani Kwani Mazuri Yapo Yanakuja Hivyo Waendelee Kuwa Wenye Subira.
Jumuiya Hiyo Ya Vijana Wa CCM Mkoa Wa Rukwa Leo Ktk Maadhimisho Yao Wamefanya Usafi Ktk Masoko Yaliyopo Mkoani Hapo Ktk Kila Wilaya Zote Mkoani Hapo Huku Kila Shughuli Nyingine Za Upandaji Miti Na Matembezi Kwa Ajili Ya Kuwaona Wagonjwa Na Kuwafariji Kwa Kuwapelekea Sabuni Na Vifaa Vingine Yakifanywa Na Uongozi Wa Jumuiya Ya Vijana Ktk Wilaya Ya Sumbawanga Mjini Ambapo Kwa Jumuiya Yalisimamiwa Na Mjumbe Wa Baraza Kuu La Vijana Mkoa Ndugu Nyansio Gregory Pamoja Na Wilaya Ya Kalambo Pia.
Utendaji Kazi Na Siasa Yenye Kutenda Ndio Msingi Wa Taasisi Yeyote Imara Nasi UVCCM Mkoa Wa Rukwa Tumeamuwa Basi Ni Imani Yetu Tutasimama Kwa Ajili Ya Maslahi Ya Chama Chetu CCM Na Taifa Kwa Ujumla.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Imetoelewa Na Idara Ya Hamasa Na Chipukizi Mkoa Wa Rukwa
Post A Comment: