Ikumbukwe kuwa leo ni Mechi ya mwisho ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, dhidi ya Yanga, kumaliza raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) itafanyika katika Uwanja huu wa Azam Complex leo Jumamosi saa 10.00 jioni.
Nimekusogezea baadhi ya picha zikionyesha Mandhari ya uwanja huu wa Chamazi.
Nimekusogezea baadhi ya picha zikionyesha Mandhari ya uwanja huu wa Chamazi.
Post A Comment: