Msanii wa muziki Bongo, Alikiba ameitembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti National Park.
Alikiba ame-share picha kadhaa katika mtandao wake wa Instagram zikimuonyesha akiwa Serengeti, hata hivyo haijafahamika iwapo matembelezi hayo ni kwa ajili ya kazi au matunuzi pekee.
Si mara ya kwanza kwa Alikiba kufanya jambo kama hilo, mwaka 2015 yeye pamoja na team yake ya RockStar4000 walitembelea hifadhi ya Tarangire, Pia mwaka 2016 alikuwepo Serengeti kwa ajili ya kusherekea birthday yake.
Post A Comment: