Kivuko cha serikali cha MV Misungwi, Busisi jijini Mwanza, kikitokea mjini kupeleka wananchi maeneo ya Sengerema, mkoa wa Geita. Kivuko cha MV Misungwi kina uwezo wa kubeba mizigo yenye uzito wa tani 250 na ndicho kivuko kikubwa kuliko vyote katika Ziwa Victoria, kinabeba abiria 1,000 na magari madogo 36 na maroli makubwa 14.
Muonekano wa kivuko cha zamani cha MV Sabasaba kilichokuwa kikitoa huduma ya kuvusha magari na abiria katika Ziwa Victoria kikiwa kimepaki.
Kivuko cha MV Sengerema kikiwa katika gati la Busisi wilayani Sengerema kikisubili abiria kuele Kigongo Mwanza Kivuko hicho ni moja ya vivuko vinavyovusha magari na abiria kati ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza. Picha na Emmanuel Massaka
Post A Comment: