
Hii ni tofauti na wasanii wengine wa hapa Tanzania ama nje ya Tanzania ambao huweka wazi masuala mbalimbali yanayohusu maisha yao binafsi na familia zao hasa kupitia mitandao ya kijamii.
Alikiba ana watoto watatu, na hapa chini ni picha za mwanae mmoja anayjulikana kwa jina la Prince Sameer Ali Kiba.
Post A Comment: