Kwa Mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja na nusu, beki wa Kagera Sugar, Juma Nyosso anakutana uso kwa uso na straika wa Simba, John Bocco.
Nyosso alifungiwa kucheza soka kwa miaka miwili baada ya kumfanyia Bocco vitendo ambavyo havikuwa vya kiungwana wakati huo akiwa Azam.
Mara baada ya kumaliza kifungo chake, Nyosso alisajiliwa na Kagera Sugar na Leo anakutana na Bocco kwa Mara ya kwanza tena.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: