MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia amesainiwa na Lebo ya WCB, Mbosso baada ya kundi lake la awali la yamoto Band, ameachia video ya wimbo wake mpya na wa kwanza akiwa chini ya Lebo hiyo wa‘Watakubali’.
Ngoma hiyo ni chini ya director na Nikk.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: