Tito Machibya maarufu kama Nabii Tito anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma hivi sasa.Nabii huyo ambaye amekuwa akionekana mitaani kuhubiri huku akiwa anakunywa pombe hivi sasa maelezo yake yanachukuliwa katika kituo kikuu cha polisi Dodoma kabla ya kamanda wa polisi mkoni humo, Gilles Muroto kutoa taarifa kuhusu nabii huyo muda mfupi ujao
Post A Comment: