Mwonekano Mpya wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Mkoani Arusha Baada ya Kufanyiwa Matengenezo ya muda mfupi.
Uwanja huu ulifungwa kwa muda ili kufanyiwa matengenezo sehemu ya kuchezea na kwenye majukwaa. uamuzi wa kuufunga uwanja huu ulifikiwa kutokana na nyasi za kuchezea kuharibika, hivyo ikaonekana ni vizuri kuukarabati .

Post A Comment: