Mwamuzi mmoja aondolewa mechi ya Azam vs Yanga leo
Mwamuzi msaidizi namba moja Josephat Bulali ameondolewa kuchezesha leo na nafasi yake kuchukuliwa na Frank Komba.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: