Msumbanews Blog ilibidi imtafute Mkurugenzi mkuu wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura ili atuthibitishie na kutupa ukweli juu ya Jambo hili.
Wambura amesema Ligi Haitasimama na Itaendelea kama kawaida Jumamosi ya wiki Hii siku ya Jumamosi katika viwanja mbalimbali hapa Nchini.
Mzunguko wa Kwanza umemalizika huku Ukishuhudia Simba ikimaliza raundi ya Kwanza ikiwa Inaongoza kwa kuwa na Points 35 ikifuatuatiwa na aZAM fC wenye points 30 kisha Yanga points 28 .
Post A Comment: