Matokeo yote ligi kuu VPL leo Jan 26

Ruvu Shooting leo wamefanikiwa kupata Ushindi wa Mabao 2 kwa 0 wakicheza uwanja wa Nyumbani Mlandizi Mkoani Pwani katika Uwanja wa Mabatini wakicheza dhidi ya Mbao Fc kutoka Mwanza.

Mabao ya Vijana wa Ruvu Shooting yamefungwa na Mchezaji Hamis Mcha Katika Kipindi cha Kwanza goli la Kwanza Katika Dakika ya 26 huku bao La pili kikifungwa katika dakika ya 44.



KUNDI C

Oljoro 1 – 3 Biashara
Dodoma 1 – 0 Transit Camp
Alliance 2 – 0 Pamba
Rhino 3 – 0 Toto

KUNDI A

African Lyon 5 – 2 Ashanti United
Jkt Tanzania 2 – 1 Friends Rangers
Mgambo Jkt 1 – 1 Mvuvumwa
Mshikamano 1 – Kiluvya



Share To:

msumbanews

Post A Comment: