Kamati ya Kabudi yaanza mazungumzo na Tanzanite One msumbanews on January 17, 2018 Kamati iliyoundwa na Rais John Magufuli kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite, imeanza mazungumzo na kampuni ya Tanzanite One. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Profesa Palamagamba Kabudi amesema mazungumzo hayo yameanza vizuri. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: