Dk Mashinji akizungumza na Mwandishi wetu muda mfupi baada ya kuwa kuripotiwa kuwa ameugua ghafla na kupelekwa Hospitali ya Amana.
Amesema kuwa yeye ni mzima na anakula ugali. Hivi sasa yuko katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema inayoendelea jijini Dar es Salaam
Source : Mwananchi
Source : Mwananchi
Post A Comment: