Diwani wa kata ya Machame MagharibI Martin Munisi ameungana na wananchi wa Kijiji cha Nronga kufanya ukarabati barabara kuu ya kuingia kijiji cha Nronga

Mvua pamoja na mifereji ambayo inavuja na kutiririka bila kuwepo kwenye mkondo wake vimekuwa chanzo kikuu cha kuharibu barabara hiyo inayoanzia soko la kalali

Diwani amewaambia wananchi wake kuwa barabara hiyo kwa mpango wa muda mfupi tayari TARURA wataichonga nakuishindilia iliirudi kwenye hali yake

 Mpango wa Muda mrefu ni kuweka lami nyepesi Mpango ambao unaratibiwa na wakazi wa Nronga wanaoishi mikaoni na wahapa Nronga ninaziunga jitihada hizi mkono na michango iendelee serikali yetu ya CCM itatuunga mkono kukamilisha jambo hili
Share To:

msumbanews

Post A Comment: