Dereva wa Basi la Kampuni ya New Force akamatwa na Jeshi la Polisi kwa kuvunja sheria za barabarani na kuhatarisha maisha ya abiria ambapo alikuwa akiendesha Basi la Kampuni hiyo linalofanya safari zake za Dar es Salaam na Wilayani Kyela Mkoani Mbeya



Aidha Waziri wa Mambo ya Ndani, @mwigulunchemba kupitia ukurasa wake wa Instagram amekemea vikali na kuahidi kuwa Dereva yeyote atakayevunja sheria hatoachwa na mkono wa sheria.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: