Daraja la  Makuyuni linalounganisha Wilaya ya Monduli na Karatu mkoani Arusha limevunjika tena usiku huu baada ya mvua kubwa zinazoendelea  kunyesha na kusababisha watumiaji wa barabara hiyo nyakati za usiku kusimama kwa muda huu.

Daraja hili lilivunjika pia siku mbili zilizopita january 18 2017 mwaka huu kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini 

Habari kamili tutawaletea muda sio mrefu tunaendelea kufuatilia kaa karibu na Www.Msumbanews.co.tz
Share To:

msumbanews

Post A Comment: