Amber Rose ambaye ni mama wa mtoto mmoja wa rapa Wiz khalifa amethibitisha kuanza taratibu za kupunguza maziwa yake baada ya kulalamika July mwaka jana kuwa yalikuwa yakimsumbua na kuwa mazito sana.
Amber alisema “My Breast Reduction surgery is tmrw, I’m really scared and really excited at the same time.”> Nafanyiwa upasuaji wa kupunguza maziwa yangu kesho, naogopa lakini pia nina shauku kwa wakati mmoja.
Amber alisema mwaka jana kuwa anataka kufanyiwa upasuaji huu ila anaogopa makovu yake na aliomba ushauri kutoka kwa mashabiki zake
Post A Comment: