Muigizaji wa filamu bongo ambaye sasa anajihusisha zaidi na ujasiriamali, Jackline Wolper, amesema kuwa anapenda wanaume wenye maumbile madogo kwani yeye mwenyewe maumbile yake ni madogo.

Ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na kituo kimoja cha televisheni kilichopo jijini Dar es salaam, ambapo amesema kuwa hana sababu ya kusifia wanaume wwenye maumbile makubwa wakati yeye ana maumbile madogo.

“Actualy siwezi kusema nachukuliaje wanaume wenye maumbile madogo, na ndio nawapenda pia, kwa sababu mimi mwenyewe mdogo, nitapendaje vitu vikubwa ambavyo siwezi kuvihimili? Unajua mwanamke anayesema mwanaume mashine namshangaa, mwanaume pesa bwana, mwanamke ambaye anajua maisha,  hawezi kusema mwanaume mashine, mimi mwenyewe siwezi kusifia mashine,”amesema Wolper

Hata hivyo, Wolpler amesema kuwa kwa sasa hataki kujihusisha sana na masuala ya mahusiano, kwani amezipa kipaumbele kazi zake tu.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: