Kwa mara ya kwanza jiji la Arusha kupitia Meya Bora Kalisti Lazaro amezindua mradi mkubwa wa hospitali ya gorofa eneo la njiro container ,Arusha chini ya Chadema a mbunge Lema waandika historia mpya 

Mh Kalist na Lema ambao kwa miaka 10 iliyopita waliendesha maandamano wakiwa TLP kurejesha maeneo hayo lakini leo wameweka historia Lema mbunge na Kalisti Meya ,maandamano ambayo iliwaafukuzisha kazi watumishi Meya Lato Laizer na Diwani Mary Kisaka kufukuzwa.

Kwa jitihada ya madiwani wake na watumishi na mh mbunge sasa Arusha inapaa[​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
Share To:

msumbanews

Post A Comment: