meandika Mange Kimambi Kupitia Instagram:
Kaka Zitto I hope you know kuwa wewe ndio mpinzani mkubwa wa upinzani wa Tanzania.. You are the weakest link.
We are not going to win this war against Magufuli huku upinzani mkuwa fragmented like this. Sasa hivi TZ kulikuwa kuwa na upinzani mmoja tu. Na sio huku Maalim Seif na CUF, huku Zitto Kabwe na ACT huku Lissu na Chadema. Ila mkiungana wooote you will be a force. .
Zitto umeshapoteza credibility a lot of people wanashindwa kukuamini but I think the way forward here is for you to end this ACT Wazalendo thing. Wewe ndio una weaken upinzani wa Tanzania Bara na 2020 utazigawa kuwa za upinzani.
Post A Comment: