Dr.kigwangalla ateua wajumbe wengine kamati ya urithi wa tanzania msumbanews on December 22, 2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamisi Kigwangalla jan Desemba 21, 2017 aliteua majina mengine ya Kamati ya Kitaifa ya kuandaa mwezi maalum wa maadhimisho ya Urithi wa Tanzania. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: