Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeteua madiwani wanawake wa viti maalum wote wakitoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Walioteuliwa ni Maimuna Mpogole na Rehema Mbetwa wote wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na Anna Mandary wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro.
Post A Comment: