Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Arusha limeendesha operesheni ya kuwapima madereva ulevi na kufanikiwa kupima madereva zaidi ya 100 huku baadhi yao wakilazimika kutekeleza magari yao na kukimbia kukwepa kutiwa hatiani.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: