Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema amefunguka na kumpa salamu Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo na kumwambia kuwa akijaribu kufanya wizi katika uchaguzi wa udiwani unaotarajiwa kufanyika mwisho wa mwezi huu basi kutakuwa na mambo mawili
Lema amesema hayo jana katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo katika Kata ya Muriet Arusha mjini na kusema endapo Mkuu huyo wa Mkoa na Mkurugenzi wataiba uchaguzi huo basi kutatokea makundi mawili ya watu.
Mtazame hapa akifuguka zaidi.
Mtazame hapa akifuguka zaidi.
Post A Comment: