Breaking News: Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi mwingine Tunduru msumbanews on November 09, 2017 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 November 2017 ametengua uteuzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru Bwa. Abdallah Hussein Mussa kwa kushindwa kumudu majukumu yake. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 November 2017 ametengua uteuzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru Bwa. Abdallah Hussein Mussa kwa kushindwa kumudu majukumu yake.
Post A Comment: