Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, William Paul Ntinika akimjulia hali mmoja wa majeruhi aliyelazwa katika Hositali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya 



Mmoja wa majeruhi akiwa amelazwaHospitali ya Rufaa Mbeya 

AJALI YA VIFO.
Mnamo tarehe 18.10.2016 majira ya saa 15:50 jioni huko katika Kijiji cha Majimazuri, Wilaya ya Mbeya Vijijini katika Barabara ya Mbeya/Chunya Gari lenye namba za usajili T.841 BRW aina ya Isuzu basi likitokea Wilaya ya Chunya kwenda Mbeya likiendeshwa na dereva aitwaye ELIA ISACK [37] Mkazi wa Chunya liliacha njia, kupinduka na kusababisha vifo kwa abiria wanne ambao ni
HAWA MOHAMED [30] mkazi wa Chunya 2. Mtoto mdogo miaka 2 wa kiume ambaye bado kufahamika jina lake 3. Mwanaume    asiyefahamika jina na 4. Mwanaume asiyefahamika.
Aidha katika ajali abiria 22 walijeruhiwa kati yao wanawake 14 na wanaume 08.  Majeruhi walitambulika kwa majina ya 1. HAPPY       BAKARI [28] Mkazi wa Mabatini 2. FAIDA MBUYI [47] mkazi wa        Igodima 3. AGNESS LUSUPA [45] Mkazi wa Ileje 4. EMMY           MWASIMBIHABI [35] Mkazi wa Mwakaleli 5. LONGI    MWALUVANDA [45] Mkazi wa Chunya 6. SIWANGU PAUL [28]       Mkazi wa Simike 7. RODA GUNZA [38] Mkazi wa Chunya 8.       ANITHA FRANK [18] Mkazi wa Igodima 9. MAGDALENA ALMASI          [19] Mkazi wa Iganzo 10. AGNESS NDOKILE [38] Mkazi wa Iganzo     11. ELIZA GIDION [21] Mkazi wa Chunya 12. JULIANA MWAMPASHI [36] Mkazi wa Chunya 13. SARAH ENOCK umri wa mwaka mmoja na nusu Mkazi wa Chunya na 14. EMMA ANGETILE           [35] Mkazi wa Chunya.

Majeruhi wengine ni 1. MOSES JACKSON [29] Mkazi wa Itaka 2. JOHNPHANCE SAMSON [35] Mkazi wa Mbozi 3. PETRO LYANGA          [24] Mkazi wa Tunduma 4. ISSA KALINGA [18] Mkazi wa Chunya 5. RICHARD KIHAMI mkazi wa Chunya 6. STARD MWASHITETE [34]           Mkazi wa Mbozi 7. MWANDALIMA JOSEPH miaka kati ya 35 – 40 na        8. CHEYO NDELE [32] Mkazi wa Mbeya.

Chanzo cha ajali ni mwendo kasi. Majeruhi wote wamelazwa Hospitali         ya Rufaa Mbeya. Dereva amekamatwa, Upelelezi unaendelea.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: