Warembo
30 wanaoshiriki kinyanganyiro cha kumsala Miss Tanzania wakiwa katika
picha ya pamoja mara tu baada ya kutembelea ofisi za gazeti la Guardian
zilizopo ndani ya mkoa wa Arusha.
Picha
ikionyesha baadhi ya warembo akiwemo mwenyeji wao ambaye ni miss Arusha
wa pili kuliaMaurine Ayubu wakiwa ndani ya ofisi za gazeti la Gurdian
na Nipashe zilizopo jiji Arusha
Msimamizi wa kituo cha Gazeti la Gurdian na Nipashe mkoa wa Arusha na Manyara Edward Qorro akiwa anatoa maelekezo mafupi kwa warembo juu ya kazi zinazofanya na magazeti hayo katika mkoa huu
warembo ndani ya ofisi
Msimamizi wa kituo cha Gazeti la Gurdian na Nipashe mkoa wa Arusha na Manyara Edward Qorro akipokea mkoa wa Shukrani kutoka kwa Mshiriki wa mashindano ya miss Tanzania kutoka mkoa wa Arusha Maurine Ayubu ambaye pia ndio mshindi wa Miss kanda ya kaskazini mara baada yakumaliza kutmbelea ofisi za magazeti hayo zilizopo apa Arusha
Mkuu wa kituo siaakaamua kutumia mda huo kuji selfie na warembo
Meneja masoko wa gazeti la Gurdiaan Swalehe Walii akiwa anatoa zawadi ya soda kwa mrembo Maurine Ayubu ambaye ni mwenyeji wa warembo wenzake wanaoshiriki shindano hilo kwani ametokea mkoa wa Arusha
Warembo wakiwa wanatoka katika ofisi za gazeti la The gurdian mara baada ya kumaliza kutembelea
Nilipata wasaa wa kupiga picha na baadhi ya wakuu wa msafara wa warembo hao wa kwanza kabisa ni kulia mimi mwenyewe mmiliki wa blog ya libenele la kaskazini woinde shizza akifuatia akifuatiwa Mshiriki wa mashindano ya miss Tanzania kutoka mkoa wa Arusha Maurine Ayubu ambaye pia ndio mshindi wa Miss kanda ya kaskazini,wa pili kushoto ni muuandaaji wa shindano la mss kanda ya mashariki Alex NIkitas
Post A Comment: