Home
Kitaifa
Viongozi wa Umma kumuenzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya
akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mhe.
Phillip Mangula mara baada ya kuwasilisha mada kuhusu Maadili ya
Viongozi wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu
Julius Nyerere lililofanyika jana Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA).Kutoka kushoto ni Mkuu wa
Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila, Mwenyekiti wa Kongamano hilo
ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri msaafu Mhe. Anne Makinda.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku akiwasilisha
mada kuhusu Miiko ya Uongozi wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya
Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika jana Jijini Dar es
Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA).
Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba
wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mhe. Phillip Mangula
akiwasilisha mada kuhusu Maadili ya Viongozi wakati wa Kongamano la
Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika jana
Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka
17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Balozi
mstaafu Ibrahim Kaduma akiwasilisha mada kuhusu Maadili ya Viongozi
wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius
Nyerere lililofanyika jana Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo
cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika
ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki
dunia.
Baadhi ya
washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius
Nyerere wakifuatilia mada kutoka kwa wawasilishaji ambao ni Mhe. Phillip
Mangula, Joseph Butiku, Ibrahim Kaduma na Dkt. Harun Kondo, mada
zilizowasilisha ni pamoja na Miiko ya Uongozi, Azimio la Arusha na
Maadili ya Viongozi.
Mchumi
Mwandamizi Profesa Ibrahim Lipumba akichangia mada wakati wa Kongamano
la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika jana
Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka
17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Mhadhiri
wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Stella Marios cha Mtwara Padre, Dkt. Charles
Kitima akichangia mada wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi
za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika jana Jijini Dar es Salaam
katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA).
Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba
wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Watoa
mada wakinukuu michango ya washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya
Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika jana Jijini Dar es
Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA).
Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba
wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.Kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa
CCM – Bara, Mhe Phillip Mangula, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya
Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, Balozi mstaafu Ibrahim Kaduma na
Mwanasiasa Mkongwe Mhe. Wilson Mkama.
Baadhi ya
washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius
Nyerere wakiangalia baadhi ya maandiko na machapisho aliyoandika Hayati
Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere enzi za uhai wake yanayochapishwa
na Mkuki na Nyota Publisher jana Jijini Dar es Salaam wakati wa
Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere
lililofanyika jana Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa
ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki
dunia.
Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya
akiteta jambo na mmoja wa washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya
Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika jana Jijini Dar es
Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere(MNMA).Naibu Waziri huyo ndiye alikuwa mgeni rasmi katika
Kongamano hilo. Lililokuwa limebeba nukuu ya Mwalimu Nyerere isemayo
“Viongozi ni lazima wawe mfano mzuri kwa wananchi kwa maisha yao na
vitendo vyao pia”.
Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia alikuwa
Mwenyekiti wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius
Nyerere lililofanyika jana Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo
cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA) akiagana na washiriki.
Picha na. Edward Qorro MAELEZO.
Back To Top
Post A Comment: