Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Daniel
F.Kigeda mara alipowasili katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao
cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki leo katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,(katikati)
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir ali Maulid,[Picha na
Ikulu.] 11/10/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki
Daniel F.Kigeda(kulia) na Spika wa Baraza l;a Wawakilishi Zanzibar
Mhe,Zubeir Ali Maulid (kushoto) baada ya Kuufungua Mkutano wa Pili wa
kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
“B”Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki
Daniel F.Kigeda wakati alipofika kuufungua Mkutano wa Pili wa kikao cha
tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi
wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,[Picha
na Ikulu.] 11/10/2016.
Baadhi ya
Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati
alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa
kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
“B”Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
Baadhi ya
Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati
alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa
kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
“B”Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa
kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
“B”Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili
wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi
“B”Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto mbele) Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Daniel
F.Kigeda(katikati mbele) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
AliIddi (kulia mbele) na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe,Zubeir Ali Maulid,wakisimama pamoja na Wabunge wa Bunge ya Jumuiya
ya Afrika Mashariki,wimbo wa Taifa nchi za Jumuiya ukipigwa baada ya
kumalizika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la
tatu la Afrika Mashariki leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mbunge Shrose Bhanji mara baada ya ufunguzi wa
Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki
uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya
ya Magharibi “B”Unguja,[Picha na Ikulu.] 11/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wabunge mbali mbali wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa kikao cha tano cha Bunge la tatu la Afrika Mashariki uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya
Post A Comment: