Hii ndiyo hali halisi ya  stendi hii ya mabasi nane nane  jijini Mbeya  giza limetawala kituoni hapo na vibaka nao wanatumia nafasu hiyo kuwapora abiria mizigo yao

Baadhi ya mabasi yakiingia toka  Dsm taa za mabasi hayo ndiyo  yanayo saidia mwanga wa muda tu yaingiapo yakitoka tu giza lipo pale pale

Hj


Tunaimani ujumbe umefika kwa wahusika
Share To:

msumbanews

Post A Comment: