pen1
Wananchi mbalimbali wakiwa wamekaa katika vivuli kwa kusubiri matibabu mbalimbali yanayotolewa na Madaktari katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
pen2
Afisa wa Afya Wilaya ya Kusini Ali Mohd Haji akitoa vipande kwa ajili ya kupata huduma kwa madaktari katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
pen3
Afisa wa afya anaeshughulika na utoaji wa Dawa  Omari Kibuyu Khamisi akimpatia mwananchi wa Kijiji cha Jambiani dawa katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
pen4
Afisa mratibu wa Kifua Kikuu na Maradhi ya Ukoma Wilaya ya Kusini Karim Chwaya akitoa huduma katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
pen5
Daktari wa Macho kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Maulid Abdu Maulid akitoa huduma katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
pen6
Daktari wa Huduma ya akina Mama na Watoto kutoka kituo cha Afya Paje Nunuu Ali Makame akitoa mafunzo kwa akina Mama katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
pen7
-Daktari Bingwa wa huduma ya XRAY na Mionzi(Radiologist) Lyu Chang An akifanya uchunguzi wa XRAY katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini 
pen8
Daktari Bingwa wa maradhi ya Masikio Dk,Fei akimfanyia uchunguzi Bi Bahati Pandu kutoka kijiji cha Bwejuu  katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini 
pen9
Daktari dhamana Wilaya ya Kusini Dk, Maulid Abdalla akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matibabu mbalimbali yanayotolewa katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini
Share To:

msumbanews

Post A Comment: