Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF
linatangaza shindano la kubuni jezi mpya ya
timu za Taifa.Zawadi kwa mshindi ni Tsh
2m.Mchoro uletwe kwa TFF kwa njia ya
kielektrokini kupitia info@tff.or.tz au ukiwa
kwenye karatasi uletwe TFF Uwanja wa Karume
Ilala.Mwisho wa kupokea michoro ni tarehe 30
Novemba 2016.
Back To Top
Post A Comment: