Home
BURUDANI
SABABU YA DIAMOND KUTOONEKANA STEJINI FIESTA2016
Hatimaye Diamond ametoa sababu ya kutopanda jukwaa la fiesta
2016,Akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm Diamond amesema kuwa
ndoa (mkataba) yake na Kampuni ya Simu ya Vodacom ndio sababu
inayomfanya asishiriki Fiesta mwaka huu...
Wadhamini wakuu wa Fiesta ni Tigo hivyo kufanya hivyo kungeleta mgongano wa maslahii....
Back To Top
Post A Comment: