Mwimbaji staa kutoka Marekani Chris Brown amewasili Mombasa Kenya kwa ajili ya kutumbuiza leo kwenye tamasha ambalo Wizkid wa Nigeria atatumbuiza, Navio wa Uganda na Alikiba na VanessaMdee wa Tanzania.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: