Miongoni mwa bilionea wa Afrika aliyekuwa Mbunge wa Singida
na CEO wa MeTLGroup, Mohammed Dewji amemwaga sifa kwa mwanamuziki
Diamond Platnumz kuwa ni miongoni mwa wanamuziki wa wakubwa barani
Afrika lakini mwenye uwelewa mzuri.
Juzi kupitia account yake ya Instagram, Mohammed Dewji, aliweka picha yake
akiwa na Diamond na kuandika maneno hayo kwa Kingereza yaliyo someka “Today afternoon with @DiamondPlatnumzOne of Africa’s biggest and smartest artists in the music industry #TanzaniansUnite ”
Post A Comment: