Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo asubuhi amekutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Kenya nchini Tanzania Hon Chirau Mwakwere . Katika mazungumzo wamekubaliana kudumisha ushirikiano na biashara. Balozi wa kenya amesema nchini Kenya kula mchele wa Mbeya ni fahari kubwa na unapendwa sana.
Mkuu wa Mkoa amemuomba balozi kuwashawishi wafanyabiashara na wawekezaji kuja Tanzania husani Mkoa wa Mbeya kuja kuwekeza na kufanya biashara
Post A Comment: