MH:MRISHO GAMBO MKUU WA MKOA WA ARUSHA .

Ametusogezea picha hapa na kuandika maneno hayo hapo chiniakiwa kikazi Wilayani Ngorongoro kwa wiki moja

Nipo Ziarani Wilayani Ngorongoro, Juzi nilifanya mkutano wa hadhara kijiji cha PINYINYI kwenye Kata ya PINYINYI. Nimekuta wananchi wetu wana changamoto ya Barabara, maji, mawasiliano na mradi wa umwagiliaji. Kijiji hiki kinapakana na nchi jirani ya Kenya hivyo wamelalamikia usalama wao kiasi kuhitaji kituo cha polisi. Serikali ya awamu ya 5 itashughulikia kero hizi. Wana Ngorongoro wana upendo sana! Wananchi wameniambia, kwa miaka 11 walikuwa hawajamuona Mkuu wa Mkoa.




 

Share To:

msumbanews

Post A Comment: