Meneja Mauzo wa TBL Group, Patrick Swai, akifafanua jambo kwa wafanyabiashara wa mkoa wa Dar es Salaam, ambao ni wauzaji wa vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group ,wakati wa semina ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo (Retailer Development Programe) iliyofanyika katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam
Meneja Mauzo wa TBL Group, Patrick Swai, akifafanua jambo kwa wafanyabiashara wa mkoa wa Dar es Salaam, ambao ni wauzaji wa vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group ,wakati wa semina ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo (Retailer Development Programe) iliyofanyika katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyabiashara wa mkoa wa Dar es Salaam ambao ni wauzaji wa vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group wakimsikiliza kwa makini mkufunzi wa wa utoaji wa huduma za ushauri ,mafunzo na uendelezaji wa biashara wa kampuni ya TAPBDS ,Joseph Migunda,(kushoto) wakati wa semina ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group na kufanyika katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam . (P.T)
Baadhi ya wafanyabiashara wa mkoa wa Dar es Salaam ambao ni wauzaji wa vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group wakiwa kwenye semina ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group jana Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam .
Baadhi ya wafanyabishara wa mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa kwenye semina ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group jana Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam .
Mmoja wa wafanyabiashara ya vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group, akiuliza swali wakati wa semina ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group na kufanyika katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Slaam .
Washiriki wa semina ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo (Retailer Development Program) wanaouza vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa semina hiyo iliyoandaliwa na TBL Group na kufanyika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam .
Post A Comment: