JUMAPILI WAKAZI WA MBEYA WALIPATWA NA MTIKISO WA FIESTA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA msumbanews on October 18, 2016 BURUDANI, Matukio katika habari picha, fiesta ilivyofaana katika Uwanja wa Sokoine_Jiji la Mbeya. Msanii wa mziki wa kizazi kipya Anaimba Rnb, Zax 4Real anayewakilisha vyema kabisa kutoka Jiji la Mbeya, akitoa burudani yake katika usiku wa Fiesta jiji la Mbeya. Wasanii mbali mbali wakitumbuiza kwenye Fiesta hiyo…. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: