Home
KIMATAIFA
Imeripotiwa Kupotea Kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika
Habari kubwa zinazosambaa kwa kasi sasa hivi msomaji wangu moja nii hii iliyoripotiwa
na kituo kikubwa cha habari Kenya cha Citizen kupotea kwa Rais wa
Malawi, Peter Mutharika ambae hajarudi nchini kwake tangu alivyoondoka
kuelekea New York Marekani kwenye mkutano mkubwa wa Umoja wa Mataifa kwa
mujibu wa rekodi imetajwa kuwa aliondoka nchini New york, September 15
2016 na mpaka sasahivi hajawasili nchini kwake Malawi.
Rais Mutharika amepotea kwa muda wa wiki 3 tangu sasa aondoke nchini
kwake na imepelekea raia wa nchi hiyo kuweka hashtags kwenye mitandao ya
kijamii zikisema #bringbackMutharika haswa kwenye twitter kama
unavyoona hapo chini.
Back To Top
Post A Comment: