WAZIRI MKUU KUONGOZA MAOMBOLEZO BUKOBA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuongoza waombolezaji kuaga miili ya waliofariki kutokana na tetemeko ardhi mjini BukobaMKuu wa Wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawilo amesema Majaliwa ataungana na waombolezaji na kuzungumza na wananchi kuhusu tukio hilo la jana jumamosi lililosababisha vifo na majeruhi.
Hadi usiku wa kuamkia leo September 11,vifo vilikuwa vimefikia 14 na majeruhi 200 ambao wanapata huduma sehemu mbalimbali Mjini Bukoba .
Post A Comment: