Home
BURUDANI
WATOTO WA MASTER J NAO WANA VIPAJI KULIKO BABA YAO.
Producer Master J ameeleza sababu za yeye kuwakataza watoto wake
kuingia kwenye soko la muziki, Master J amesema kweli muziki wa sasa
unaweza kukingizia pesa nyingi lakini amewakatataza watoto wake kuimba
japo kuwa wana vipaji.
‘Unajua kwa mtoto wa kike
mpaka kweli atoke kwenye huu muziki huwa wanapata shida sana unajua mimi
niko kwenye hii indrustry kwahiyo nafahamu kila kitu watoto wa kike
wanatumika sana mpaka watoke‘
Back To Top
Post A Comment: