Maneno ya Mkuu wa Mko wa Arusha MRISHO GAMBO kuhusiana na Deni la Walimu wa Sekondari na Msingi.

 


Leo tumefanya kikao na walimu wa shule za msingi Jijini Arusha, tumesikiliza kero zao mbalimbali. Nimeelekeza fedha tulizo okoa kutoka kwenye malipo yasio halali kwa madiwani wa Jiji la Arusha zitumuke kulipa madeni ya walimu wa shule za msingi na sekondari ambayo ni 154 Million. Nimetoa wiki mbili kuanzia leo zoezi hili liwe limekamilika!

Share To:

msumbanews

Post A Comment: