Viongozi wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka kulia ni Mkuu wa Utawala, Angelo Ngalla, Mwanasheria, Ibrahim Mohamed na Ofisa Uhusiano, Hamisi Sungura.
Alitaja
lengo jingine kuwa ni kuwafahanisha wadau faida na umuhimu wa sheria ya
mtandao katika kuboresha huduma zao kwa wananchi na kubadilishana
uzoefu wa kazi zao za kitaaluma kwa lengo la kuongeza weredi pamoja na
kuwapa fursa waataamu katika sekta ya ujenzi kupata nasaha kutoka kwa
viongozi wa Serikali.
Jihad
aliswema katika semina hiyo mada mbalimbali zitatolewa na kuwa mgeni
rasmi anatarajiwa kuwa ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Profesa Makame Mbarawa.
Post A Comment: