TAARIFA ya Kamanda wa
Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini Amesema kuanzia Januari hadi Juni
2016,inaonesha kuwa watu 1580 walikufa kutokana na ajali za barabarani
na watu 4659 walijeruhiwa katika ajali 5152.Katika kipindi hicho watu
waliokufa kwa ajali za pikipiki ni 430.Mwaka 2015 pekee hapa nchini
ajali za barabarani zilisababisha vifo vya watu zaidi ya 4000.
Takwimu za Shirika la Afya Duniani zinaonesha kuwa kila mwaka ajali za
barabara duniani zinasababisha vifo vya watu milioni 1.3Hata hivyo
utafiti umebani.ajali nyingi zinasababishwa na uzembe wa madereva .
Back To Top
Post A Comment: