Home
Kitaifa
RAIS MAGUFULI NA UTEUZI MWINGNE LEO SEPT 23
RAIS MAGUFULI NA UTEUZI MWINGNE
Kufuatia
hatua ya Serikali kununua hisa zote za Bharti Airtel ambaye alikuwa mbia
mwenza wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) na hivyo Serikali kumiliki
hisa za Kampuni hiyo kwa asilimia 100, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Waziri Waziri Kindamba kuwa
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL.
Waziri
Waziri Kindamba ameteuliwa kushika nafasi hiyo kuanzia leo September 23
2016. Kufuatia uteuzi huo, aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt.
Kamugisha Kazaura atapangiwa kazi nyingine
Back To Top
Post A Comment: